askofU mukiwa anasema leo wazi wazi kwamba uchaguzi wa 2010 utakuwa mgumu sana kwa wanasiasa wengi kwa sababu wananchi wengi wameshajua haki zao ni zipi!.
.''....wanasiasa waongo hawana nafasi,wananchi wengi wameshajua haki zao,kanisa la kianglikana limejiandaa kwa dhati kabisa kuwaelimisha waumini wake namna na vigezo vya kumchagua kiongozi bora!.....''
HAYA SASA JAMANI!kazi mnayo wakina masatu,wakina GT,na wengine ,na kwa yoyote anayehusika
Moto juu ya moto yaani watu wapakua na kubandika moto mwingine .Nape endelea kulia lia kwenye TV .
Mkuu najua kama Mokiwa ni askofu ila siku hizi namsikia sana katika Majukwaa ya kisiasa, ndiyo nikauliza hivyo.hahahahahahah!mkuu huyu ni askofu mkuu wa kanisa la anglikana!kama mchungaji AMETIMIZA WAJIBU WAKE KWA KONDOO WAKE!I BELIEVE THAT
Mkuu najua kama Mokiwa ni askofu ila siku hizi namsikia sana katika Majukwaa ya kisiasa, ndiyo nikauliza hivyo.
HAYA SASA JAMANI!kazi mnayo wakina masatu,wakina GT,na wengine ,na kwa yoyote anayehusika
Hawa maaskofu wamechoka amani.Bado hawajastuka jinsi watu waa mbeya walivo BIP huko tunduma na kyela.Mkuu najua kama Mokiwa ni askofu ila siku hizi namsikia sana katika Majukwaa ya kisiasa, ndiyo nikauliza hivyo.
askofU mukiwa anasema leo wazi wazi kwamba uchaguzi wa 2010 utakuwa mgumu sana kwa wanasiasa wengi kwa sababu wananchi wengi wameshajua haki zao ni zipi!.
.''....wanasiasa waongo hawana nafasi,wananchi wengi wameshajua haki zao,kanisa la kianglikana limejiandaa kwa dhati kabisa kuwaelimisha waumini wake namna na vigezo vya kumchagua kiongozi bora!.....''
HAYA SASA JAMANI!kazi mnayo wakina masatu,wakina GT,na wengine ,na kwa yoyote anayehusika
Mkuu najua kama Mokiwa ni askofu ila siku hizi namsikia sana katika Majukwaa ya kisiasa, ndiyo nikauliza hivyo.
Junius basi hivi ndivyo viongozi wa dini wanapaswa kuwa. Hope unajuwa kwamba we are all political animals whether we like it or not. Na neno la Mungu linalotenga mwili na roho limepitwa na wakati. Mungu hakuumba roho peke yake aliumba na mwili pia. Na it's a well known fact kwetu sote kwamba miili yetu inaathiriwa kwa kiwango kikubwa na maamuzi ya kisiasa. Kifupi nawapongeza sana Roman Catholic na Anglican kwa kuamuka-this is really good.

Haya jamani tuwe mashahidi sote humu JF kuwa kama RC na Anglikana wanafanya wajibu wao na wengine kufuatia RUKSA eeeh!hata mimi nawapongeza zaidi,THEY ARE PLAYING THEIR ROLE TO THE COMMUNITY!kinyume na hilo watakuwa hawatufai kabisa
Mkuu, sheria zetu zinakataza kutumia majukwaa ya dini kwa mambo ya kisiasa na kinyume chake. Si tatizo Asokofu Mokiwa kama watanzania wengine kuzunguzia mambo ya nchi yake lakini je katika jukwaa lipi???Wewe ni Kiongozi wa chama chochote cha siasa? Maana unaonekana sana kwenye Jukwa la siasa hapa JF.
Nadhani ni haki ya kila Mtanzania kuzungumzia mstakabari wa nchi yake? au katiba imetenga wananchi wa makanisni na misikitini wasingumzie kabisa masuala ya nchi yao??? .
Mkuu, sheria zetu zinakataza kutumia majukwaa ya dini kwa mambo ya kisiasa na kinyume chake. Si tatizo Asokofu Mokiwa kama watanzania wengine kuzunguzia mambo ya nchi yake lakini je katika jukwaa lipi???
Maana tumeona kule Spika anakataza wenzake kuleta udini udini katika bunge lakini wakati huo huo anapongeza waraka wa kiaskofu, kana kwamba chombo anachokiongoza hakina wala hakijatunga sheria zinazoongoza wananchi kuchagua viongozi bora. Naye(sitta) pia nauliza ni askofu wa jimbo gani?