Mfalme Daudi alimpofanya dhambi ya kumchukua Mke wa Uria, Mungu alimtuma Nabii Nathan akamwonye na Kumkemea, alipotoza kodi na wakusanya kodi wakawa wanakula hizo pesa za walalahoi (ufisadi) watumishi wa Mungu walimkemea kwa nguvu na kodi ikafutwa
Ni kafu nasikia😀Mkuu najua kama Mokiwa ni askofu ila siku hizi namsikia sana katika Majukwaa ya kisiasa, ndiyo nikauliza hivyo.
Junius basi hivi ndivyo viongozi wa dini wanapaswa kuwa.
Ujumbe mzito sana huu! Mkuu tunaomba ile avatar yako ya awali...asante!
Yeah ....Ile mzee picha ya mrembo BBA hasikiki tena sijui mafisadi wa Ngono wamemficha tayari!Wengi tulivutiwa nayo si Mkuu Masa pekeee!Mkuu Avatar ipi hiyo?? Ile passport size yangu nina nywele ndefu? niliyopiga wakati nipo BBA 3?
Yeah ....Ile mzee picha ya mrembo BBA hasikiki tena sijui mafisadi wa Ngono wamemficha tayari!Wengi tulivutiwa nayo si Mkuu Masa pekeee!