The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla ya 2025.
Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi?