The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Ikitokea hivyo Mimi nafanya sherehe,kwani watu wanatafuta kwanini tunakwama kama taifa wakati wanaotukwamisha wanafahamika,kwa viburi,jeuri na ulevi wao wa madaraka,kiasi hata cha kumkufuru Mungu.Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana...
View attachment 1765034
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda...
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe u - Spika kabla ya 2025...
Acha uongo wako we kapuku, huyu askofu aliondoka Tanzania wakati wa Jakaya mwaka 2013 baada ya vurugu za kuchinja nyama baina ya waislamu na wakristo kuibuka. Kila kitu kusingizia watu waliokufa ni upuuzi.Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Jiwe limeoza, JPM alipigiwa dua nyingi Sana na yamemkuta, alitesa wengi.Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Machadema ni mapumbavu sanaAcha uongo wako we kapuku, huyu askofu aliondoka Tanzania wakati wa Jakaya mwaka 2013 baada ya vurugu za kuchinja nyama baina ya waislamu na wakristo kuibuka. Kila kitu kusingizia watu waliokufa ni upuuzi.
Narudia tena kama Hitler anasemwa toka 1945 basi Magu anastahili kusemwa mileleAcha uongo wako we kapuku, huyu askofu aliondoka Tanzania wakati wa Jakaya mwaka 2013 baada ya vurugu za kuchinja nyama baina ya waislamu na wakristo kuibuka. Kila kitu kusingizia watu waliokufa ni upuuzi.
Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Dogo maelezo yako sio sahihi. Huyu "Askofu" alikimbia kipindi cha JK. Na kilichomkimbiza ni ishu ya kukomalia eti na Wakristu wapewe haki ya kuchinja kama ilivyo kwa Waislamu. Aliishadidia sana hii ishu hasa kupitia "karedio" kake hapa Jijini Mwanza. Serikali ya JK ilipochoka naye ikataka "kumshughulikia" ndio akakimbia nchi hadi leo!Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Machadema ni mapumbavu sana
Waache wajinga wazidi kujazana ujinga!Acha uongo wako we kapuku, huyu askofu aliondoka Tanzania wakati wa Jakaya mwaka 2013 baada ya vurugu za kuchinja nyama baina ya waislamu na wakristo kuibuka. Kila kitu kusingizia watu waliokufa ni upuuzi.
Mkuu,Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana...
View attachment 1765034
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda...
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe u - Spika kabla ya 2025...
Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi...?
Tatizo lilitengenezwa na forgeries za Tume ya Uchaguzi .Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Nani kakuzuia kumsema? Sema ukiwa unaeleza ukweli,askofu aliondoka nchini mwaka 2013, kwa nini mpotoshe?Narudia tena kama Hitler anasemwa toka 1945 basi Magu anastahili kusemwa milele
Kwa Neema FM nyasakaDogo maelezo yako sio sahihi. Huyu "Askofu" alikimbia kipindi cha JK. Na kilichomkimbiza ni ishu ya kukomalia eti na Wakristu wapewe haki ya kuchinja kama ilivyo kwa Waislamu. Aliishadidia sana hii ishu hasa kupitia "karedio" kake hapa Jijini Mwanza. Serikali ya JK ilipochoka naye ikataka "kumshughulikia" ndio akakimbia nchi hadi leo!
Sawa sawa. Tena alikuwa anaendesha vipindi vyake vya uchochezi wa uchinjaji nyama usiku kupitia Kwa Neema FM!Kwa Neema FM nyasaka
Yah MPA sasa kwa neema IPOSawa sawa. Tena alikuwa anaendesha vipindi vyake vya uchochezi wa uchinjaji nyama usiku kupitia Kwa Neema FM!
Ndio.Yah MPA sasa kwa neema IPO
Huna data mkuu,huyu alikimbia kipindi cha Jk kwenye mzozo wa nani ana haki ya kuchinja mifugo machinjion.Anaitwa askofu mpemba ,ni mchungaj tokea mwanza Ila alihama nchi akaenda kuishi ughaibuni baada ya kuwa anamkosoa hadharani Maghufuli ,jamaa ni Kati ya watu wachache waliobaki imara kwenye ukosoaji kipindi cha jiwe jamaa halikuyumba hata kidogo japo he was forced to withdraw his own country sababu ya vitisho vya jiwe .... Kwenye ukosoaji yupo level moja na tundulissu moja ya watu imara waliobaki kipind cha utawala wote wa chuma even though walilipa Gharama kubwa
Kwa hiyo!!???Jiwe limeoza, JPM alipigiwa dua nyingi Sana na yamemkuta, alitesa wengi.