Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

magu atasemwa kwa mazuri acha uchagga wako
Na huyo shetani ndiye aliyekufundisha ukabila, anastahili kufa mara 1000000 huyu Hitler aliyetaka kuharibu legacy ya JK Nyerere ya Tanzania isiyo na ubaguzi! You can join him in hell if you care for him!
 
Ikitokea hivyo Mimi nafanya sherehe,kwani watu wanatafuta kwanini tunakwama kama taifa wakati wanaotukwamisha wanafahamika,kwa viburi,jeuri na ulevi wao wa madaraka,kiasi hata cha kumkufuru Mungu.
Walivyo wapuuzi wanawataja mabeberu, adui wa muafrika ni muafrika mwenzie
 
Mkuu nimesoma taarifa yako na ikanilazimu kurudia mara mbili. Hasa pale uliposema miongoni mwa hao Covid 19 wengine sio wanachama wa CHADEMA. Kama kweli watu hao wanaingia bungeni bila kufuata KATIBA na vyombo vyote vinavyo simamia KATIBA havichukui hatua yeyote ni dhahili inaonyesha TAIFA /SERIKALI imekosa idhibiti mahali. Imenisikitisha sana taarifa hii
 
Huyu Askofu ameongea point tupu kwamba tuheshimu Katiba na tusiichezee
 
.
 
Hivi Kwa nini Chadema hawakuifuatilia Ile Barua kutaka kujua ilikotokea??

Sawa, walimhofia Jiwe, leo hayupo, ni muda mwafaka wa kufahamu Barua Ile ilitokea wapi na Nani aliwaidhinisha wale wabunge wa Chadema kuingia bungeni
Kama kikao halali cha chama kiliwafuta uanachama mzee Halima na genge lake, hiyo barua unayosema hata Kama iliandikwa na rais haina tija yoyote.
 
 
Kusema kweli unafiki ni ugonjwa mbaya sana ktk maisha ya mwanadamu. Huyu mtu ni mnafiki wa kupitiliza na ndio maana hata chombo anachoongoza kimekuwa cha unafiki na udhaifu mwingi kuliko wakati wowote.
Anyway, labda sababu ya ugonjwa.
 
Ndugai na washauri wake ni kichwa cha mbogo; hakiwivi, ila kinaoza mbogo akifa. Mbogo sasa kafa na kicha kimeanza kuoza.
 
Yote kwa yote ni sawa mkuu. Anayoyasema je ni pumba?
 
Ndugai hili Jambo fika mahali litue. Mlifanya wenzako lkn Sasa linakuangukia wewe. Akina jaji mutungi wamejitenga kimya! Kana kwamba hawakuhusika
 
Ukikosoa namna hii mitandaoni special task force ilikufuatilia. Kama una bahati utaokotwa Unonio, kama huna bahati utaishia kwenye sandarusi baharini.
Badala ya kufanya kazi za kijasusi, walikua wanafuatilia watu ambao sio tishio kabisa kwa usalama wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…