Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

Mkuu, kumbe Una ushahidi kabisa, Wakati huohuo unataka kufanyike uchunguzi....! Kwa ushahidi huohuo mi nadhani, anzia hapohapo, peleka mahakamani
Umepoteza bure miaka uliyokaa shule!
 
Kinachofanywa na spika hakikubaliki kamwe.Kuvunja katiba ni hatari Sana kwa kiongozi
 
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Angewatuma vijana wakamuulize ni watu wa taifa gani wanavaa kofia kama yeye, yawezekana huyu ni raia wa huko
 
tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla ya 2025.

Mbona mashambulizi dhidi yake yameachiliwa hivi?
Hili la spika ni muhimu sana kuanzishiwa movement seriously, spika tuliyenaye ni questionable, possibly ana hitilafu kichwani
 
ngoja nimfuatilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…