OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View: https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza kuhamasisha watu kushinda wewe katika kutimiza malengo ya chama, kwa nini yeye ang'ang'anie. Kwa nini wakati hana uwezo?
Maana yake kwake yeye malengo yake binafsi ni muhimu kuliko malengo ya chama.
My Take
Mtu ambaye yupo tayari kufanya chochote kufia kwenye cheo badala ya kutimiza malengo ya chama, HUYO NI MTU MBAYA SANA.