OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sahihi kabisa
View: https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza kuhamasisha watu kushinda wewe katika kutimiza malengo ya chama, kwa nini yeye ang'ang'anie. Kwa nini wakati hana uwezo?
Maana yake kwake yeye malengo yake binafsi ni muhimu kuliko malengo ya chama.
My Take
Mtu ambaye yupo tayari kufanya chochote kufia kwenye cheo badala ya kutimiza malengo ya chama, HUYO NI MTU MBAYA SANA.
Mara hii Mbowe kajichanganyaSafari hii Mbowe kabananishwa
Mbowwe angepewa nchi angekuwa dikteta kama San Abacha wa Nigeria aliyewaua kina Ken sarowiwa,angeua watu ili aendelee kusalia madarakani
View: https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza kuhamasisha watu kushinda wewe katika kutimiza malengo ya chama, kwa nini yeye ang'ang'anie. Kwa nini wakati hana uwezo?
Maana yake kwake yeye malengo yake binafsi ni muhimu kuliko malengo ya chama.
My Take
Mtu ambaye yupo tayari kufanya chochote kufia kwenye cheo badala ya kutimiza malengo ya chama, HUYO NI MTU MBAYA SANA.
Mbowe analinda uhuni wake pamoja na machawa wake. Hana nia yoyote na chadema

Familia yake anaiongoza mamako.🪛🪛🪛🪛🤣🤣Lissu hawezi hata kuongoza familia ya watu 6, he is not a leader! Hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi mkuu wa kundi lolote! He is good kwenye uanasheria, uanaharakati, na amsha amsha! But siyo kutuliza brain chini na kuongoza, ataizika CDM. Mwenye masikio na asikie, wazee wa mihemko na kukaza shingo endeleeni
Mbowe kupokea rushwa kutoka kwa Abdul na Lowassa ndio leadership?Lissu hawezi hata kuongoza familia ya watu 6, he is not a leader! Hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi mkuu wa kundi lolote! He is good kwenye uanasheria, uanaharakati, na amsha amsha! But siyo kutuliza brain chini na kuongoza, ataizika CDM. Mwenye masikio na asikie, wazee wa mihemko na kukaza shingo endeleeni
99% ya watu wamemkataa, tena hadharaniMara hii Mbowe kajichanganya
Kura ndizo zitaamua sanduku la kura kama Mbowe ana uwezo au la
View: https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza kuhamasisha watu kushinda wewe katika kutimiza malengo ya chama, kwa nini yeye ang'ang'anie. Kwa nini wakati hana uwezo?
Maana yake kwake yeye malengo yake binafsi ni muhimu kuliko malengo ya chama.
My Take
Mtu ambaye yupo tayari kufanya chochote kufia kwenye cheo badala ya kutimiza malengo ya chama, HUYO NI MTU MBAYA SANA.
Kumkataa Mbiwe au kumkubali ni kwenye sanduku la kura wafuasi wa Lisu acheni cheap pollitics na propaganda za kitoto99% ya watu wamemkataa, tena hadharani
Kwa nini na huyo mwingine anajitahidi kufanya lolote aingie kwenye Uenyekiti? Kwani Kuna nini? Hawezi kugombea Urais bila kuwa Mwenyekiti huyo kibaraka wenu?