Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sisi Jumatano tunaenda kupiga kura wewe baki nyumbani kwako mkuu...utafanyika vipi kwa haki ukizingatia dhuluma iliyofanyika mpaka sasa hivi?
..uchaguzi ni mchakato na mauzauza yameanza muda mrefu na yanahitimishwa Oct 29.
Sisi Jumatano tunaenda kupiga kura wewe baki nyumbani kwako mkuu.
Huu uchaguzi watashiriki mashetani na wazao wao.Sisi Jumatano tunaenda kupiga kura wewe baki nyumbani kwako mkuu.
Laana unayo wewe na ukoo wako. Kesho sisi tunatiki tu.Huu uchaguzi watashiriki mashetani na wazao wao.
Wapiga kura wametekwa, na wengine kupotezwa na wengine kuuawa. Wagombea wa upinzani wameswekwa jela, halafu utakuwaje wa haki na amani? Kama una akili timamu, huwezi kabisa kuongelea uchaguzi wa haki, kwa sababu hiyo haki mashetani yalikwishaipora zamani, kabla ya hiyo siku.
Mashetani yataenda ili yakabariki vitendo vya kishetani vya kuteka na kuua watu. Wacha mashetani yaende yakabebe laana.