Askofu Mtetemela: Wakristo tunapewa ili tutoe; hatutoi ili tupewe, wanasiasa jifunzeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili tupewe.

Askofu Mtetemela amesema si sawa kutoa sadaka ukitegemea kupokea ama utajiri, mali au hitaji lolote unalolitamani bali tumebarikiwa ili tutoe.

Chanzo: Upendo TV

My take: Wanasiasa jifunzeni kitu hapa msinunue vyeo!
 
Watu hawajui tofauti kati ya kutegemea na kutarajia.

Biblia inasema tumjaribu Mungu kwa kutoa kwamba ukitoa utazidishiwa nahivyo ndivyo ilivyo tutarajie hivyo kila tunapotoa.

Tatizo makanisa mengine hayana upako yamejawa siasa na biashara
 
Makanisa mengi yamejaa watumishi matapeli
 
Watu hawajui tofauti kati ya kutegemea na kutarajia.

Biblia inasema tumjaribu Mungu kwa kutoa kwamba ukitoa utazidishiwa nahivyo ndivyo ilivyo tutarajie hivyo kila tunapotoa.

Tatizo makanisa mengine hayana upako yamejawa siasa na biashara
Nimekuelewa!
 
Back
Top Bottom