johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaweza kufafanua manka?!Mkristu Job Ndugai anatoa kwa wale 19 ili apokee mabilioni kutoka Ulaya.
Makanisa mengi yamejaa watumishi matapeliWatu hawajui tofauti kati ya kutegemea na kutarajia.
Biblia inasema tumjaribu Mungu kwa kutoa kwamba ukitoa utazidishiwa nahivyo ndivyo ilivyo tutarajie hivyo kila tunapotoa.
Tatizo makanisa mengine hayana upako yamejawa siasa na biashara
Nimekuelewa!Watu hawajui tofauti kati ya kutegemea na kutarajia.
Biblia inasema tumjaribu Mungu kwa kutoa kwamba ukitoa utazidishiwa nahivyo ndivyo ilivyo tutarajie hivyo kila tunapotoa.
Tatizo makanisa mengine hayana upako yamejawa siasa na biashara