Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Lukasi Mwashambwa!Soma hiyo.Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Lukasi Mwashambwa!Soma hiyo.
Kajaa hewa Tumboni na kichwani!Unakuta mubaba na kitambi chake hana msimamo wa kiume
Yuko kumpamba mama na Makonda ,hata akiiona ataipotezea !hii video naomba atumie lucas kokote halipo
Uchawa ukizidi unaweza hata kudidiwaaWengine hao ni alimradi mkono uende kinywani
Lukas Mwashambwa mwaka huu na Mwakani hafi njaa kwa uchawa!Uchawa ukizidi unaweza hata kudidiwaa
Ova
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Mdudu ovyo kama kunguni!Binadamu kujiita CHAWA ni uwendawazimu wa kiwango cha juu sana.
CHAWAYuko kumpamba mama na Makonda ,hata akiiona ataipotezea !