PostGE2025 Askofu Mwamakula aigomea Tume ya kuchunguza matukio uchaguzi mkuu 29 Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watu milioni 60, yeye hawezi kubadilisha kitu, udini tu unamsumbua
 
Huyu nilikwisha sema toka zamani kuwa siyo askofu bali anavaa makofia na makanzu ya uaskofu.

Huyu ni tapeli aliyejificha kwenye biblia. Hakuna Kanisa analohudumu wala hakuna muumini anayemhubiria.

Ni mvuta bangi mmoja aliyesoma Azania Boys pale karibu na Muhimbili ambaye muda wote anaendesha harakati za CHADEMA.

Kama kuna muumini wake hapa ajitokeze
 
Huu inabidi uwe ndio msimamo wa kila mpenda haki wa kweli.

Pongezi kubwa kwako askofu mwamakula.
 
Safi kabisaa. No unafki.
Uue halafu ujichunguze mwenyewe na bado unalazimisha watu wenye utu na akili timamu waunge upumbavu wako.!!

Huyo Askofu anajielewa na wengine wenye akili timamu wajitafakari wanapoitwa na hiyo tume ya mchongo.
 
Akwende mbele huko na gauni lake lile😏😏😏
 
Ndugu Watanzania!

Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 19 Januari 2026; Saa 2:20 jioni.
Maoni yangu askofu ajiangalie sana!, awe karibu na documents
zake za kuthibitisha uraia wake

Siku nilipokutana na Baba Askofu huyu, nilimuuliza kama ni mfuasi wa upinzani upinzani hivi, sikiliza alichojibu

View: https://youtu.be/L1VfloknySk?si=mD70TlsEWDhsirQ7
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…