PostGE2025 Askofu Mwamakula aigomea Tume ya kuchunguza matukio uchaguzi mkuu 29 Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hata asipoenda TUME itakamilisha kazi yake na dhamari ya kweli ya Nchi itafikiwa
 
Kwani wana aibu hao!!? Wangekuwa na AIBU, yule Waziri wa ulinzi (S.Tax) angekuwa ameshaondolewa/amejitoa kwenye hiyo Tume!
 
Kwenda au kutokwenda ni uamuzi binafsi.
Yes ila hizo hoja 8 za huyu askofu zingekuwa na maana na manufaa zaidi kama angezifikisha tume, watu wanakataa neno sio kukataa wito, ila simlaumu kwasababu kuna viongozi wa dini ni waoga kama kunguru, wanamuogopa shetani kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa, wakati viongozi mashujaa wanamkabili shetani, hata Yesu alimkabili shetani!.
P
 
Hizo hoja 8 wakujibu ni aliyeteua hiyo tume sio wajumbe.
 
Hizo hoja 8 wakujibu ni aliyeteua hiyo tume sio wajumbe.
Watanzania ni Watu wa ajabu sana wasiojua kuchangamkia fursa!, kitendo tuu cha kuitwa tume ni bonge la fursa, hapo ndipo pa kupeleka malalamiko yote.
P
 
Askofu Mungu ampe maisha marefu, tume sasa iende R.C
 
Tunafanya ushabiti kwenye mambo serious.
Tusijisahaulishe tu kwamba mwezi ujao Tume atatoa taarifa yake na kusema makundi yote yalishiriki na watatoa mapendekezo yao bila kujali TEC au Mwamakula walikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…