Askofu Mwamakula: Hata sisi tunaowatetea CHADEMA tukigundua kuwa kuna ufinyaji wa haki mle ndani hatutawatetea tena

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA

Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa mchakato wao wa Uchaguzi una uonevu basi hawatawatetea tena

Your browser is not able to display this video.
 
Rushwa, mkono wa Asante, posho zisizo na kichwa wala miguu HUPOFUSHA, KWELI HUFINYWA, HAKI HUONDOSHWA, WALE WA KUSEMA KWELI HUSEMA UONGO!
 
Mbona amechelewa sana baba askofu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Muongo huyo maji yamemfika kooni mfuasi wa Mbogwe huyo
 
Ila wajumbe wa mkutano mkuu watakuwa ni watu wajinga sana wasiofaa ktk jamii wakimchagua tena Mbowe kuwa mwenyekiti!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…