Askofu Mwamakula: Kuondoa utaratibu wa Usajili wa Kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi

Askofu Mwamakula: Kuondoa utaratibu wa Usajili wa Kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Askofu Mwamakula ameandika katika Ukurasa wa Twitter kwamba, kuondoa utaratibu wa usajili wa kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi

mwamak.PNG
 
Under dictatorship, everyone is a potential victim- The solution is to join forces before it is too late.
Unaamini kanisa katoliki hata likiwaudhi vipi wanaweza kulifutia usajili?! Hiki ni kitisho kwa vijikanisa kama hicho cha mwamakula.
 
Unaamini kanisa katoliki hata likiwaudhi vipi wanaweza kulifutia usajili?! Hiki ni kitisho kwa vijikanisa kama hicho cha mwamakula.
All they can do is to pick some individuals within the church, and deal with them accordingly.
 
Back
Top Bottom