LGE2024 Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mlisema ni Magufuli, hahaha! Kiko wapi sasa?
Ule wimbo ulioanzia CCM na nyie wapinzani mkaingia mkenge bila kujua mkaimba chorus: "uchaguzi ule ulikuwa uchafuzi, mama kaimarisha demokrasia, mama amewapa nafasi Sawa wapinzani, mama karuhusu maandamano, mama karuhusu mikutano ya hadhara, wapinzani walinunuliwa na Mwendazake, " ....na hizo ni rasharasha, elnino unakuja! Ndani ya CCM kuna mumiani, mafia ambao hata mwenyekiti wao anawaogopa wasije wakagusa "fuse" yake akapiga shot !
 
Kwenye kanunu za uchaguzi hakuna sehemu inatamka mgombea atakosa sifa kwa typing error au makosa ya technical ila walieleza mambo wazi kabisa
 
Katika vitu ambavyo vinakera na kuamsha Mori ni pamoja na vitendo vya kijinga vinavyofanywa na wajinga.

Hivi imeandikwa wapi kwamba fomu ya mgombea ikiwa na hitilafu basi aenguliwe ili anayetakiwa apite bila kupingwa?

Hivi upinzani wa Tanzania mlitegemea kwamba ccm na wateule wake wataandaa na kusimamia uchaguzi huru, halali na wa haki?
Mbona mkiambiwa msishiriki haramu inayondaliwa na maharamia mnakuwa wagumu kuelewa?

Wananchi kwa umoja wao walishasusia hizo chaguzi haramu... Upinzani someni alama za nyakati!
Cha kufanya kwa sasa nendeni mahakamani na msikubali suluhu inayovunja utu na maadili!
 
Mambo ya mkwe hayo
 
Huu utapeli wa kisiasa.hakuna uhalali
 
huyu askofu mwamakula akili zake hazimtoshi mjasiliamali ni kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…