comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la Polisi ambaye alikuwa ndani ya basi hilo wakati tukio lilipotokea.
Askofu Emmaus Mwamakula ameandika:
Nina wasiwasi na maswali mengi juu ya taarifa za uwepo wa mtu aliyeelezwa kuwa ni Traffic Police mstaafu ndani ya Tashriff Luxury Coach wakati Ali Mohamed Kibao anatekwa. Je, ni kwa nini hakushauri basi liende Kituo cha Polisi cha jirani? Askari mstaafu hawezi kuacha kuokoa uhai!
Askofu Emmaus Mwamakula ameandika: