Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
1726051272067.png
Amesisitiza haja ya umoja na mshikamano wa kijamii ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kushamiri.
Soma pia:
==> Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya
==> Askofu Mwamakula: Waliohujumu Uchaguzi Mkuu 2020 na kuiba kura hawatofautiani na wanaohujumu chaguzi za ndani za CHADEMA
==> Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro
==> Askofu Mwamakula: Kama kwenye chaguzi za ndani ya vyama Rushwa ilitawala itakuwaje kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu?
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya umoja na mshikamano wa kijamii ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kushamiri.
 
Attachments

  • 1726050713228.png
    1726050713228.png
    402.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom