Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa.
Amesisitiza haja ya umoja na mshikamano wa kijamii ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kushamiri.