Askofu Mwamakula: Vijana wa CHADEMA hawana tena uwezo wa kujibu hoja wamebakia kusema " Hafai, hana sifa, aondoke"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke '
======================

'Hana sifa', 'Hafai', 'Aondoke'! Hizo ndio kauli za makundi ya kampeni ndani ya CHADEMA. Hawajadili hoja na sera za wagombea! Ni aibu kwetu sote kwani taifa limekosa vijana wenye uwezo wa kujenga na kupangua hoja. Wamejipachika katika timu za wagombea badala ya kuhoji sera zao!

Ukurasani X

My take: Bavicha wanamtukana tu Lisu badala ya Kujibu Hoja zake 😄

Screenshot 2024-12-24 213206.png
 
Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke '

Ukurasani X

My take: Bavicha wanamtukana tu Lisu badala ya Kujibu Hoja zake 😄
Utasikia amekaa sana mara ni rafiki na Abdul and such nonsense
 
Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke '

Ukurasani X

My take: Bavicha wanamtukana tu Lisu badala ya Kujibu Hoja zake 😄
Bavicha wekuwa kama makinda ya ndege yanayopiga tu kelele yakisubiri chakula toka kwa mzazi wao ambaye naye hana uhakika.
 
Back
Top Bottom