Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke '
Ukurasani X
My take: Bavicha wanamtukana tu Lisu badala ya Kujibu Hoja zake π