Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unadhani kwanini alimkataaMwamposa mwenyewe hana tofauti na Chivayo, ni mlaghai na mshetani. Tofauti yao huyu yuko kanisani anawaibia watoto wa Mungu na huyu alikuwa uraiani anawaibia watoto wa Mungu
Ilikuwaje amkatae mwenzakeHata huyo Mwamposa mwenyewe anaishi kama hatakufa pia,hela za wanakondoo ujengee mahoteli na kujinufaishi yeye binafsi,je ana tofauti gani na huyo Chivayo
Mafahari wawili hawakai zizi 1.Ilikuwaje amkatae mwenzake
Sinners judging sinners for sinning differentlyKwenye kitabu cha Mungu (Biblia) ukisoma Mathayo 11:28-30 imeeleza namna Mwenyezi Mungu alivyoelekeza wote wenye makandokando na mizigo waje kwake ili awapumzushe, kwa maana ya kuwaokoa
Sasa imekuwaje Nabii Mwamposa kumkataa Tajiri Chivayo, ambaye labda angemkiri Yesu Kristo na pengine angetubu dhambi zake na kuingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika Pekazi?
View attachment 3684142
Aiseeee!!!Ni katika harakati ya kujisafisha ili kuonyesha kuwa kanisa lake ni safi na haliko tayari kupokea michango ya watu ambao vyanzo au mapato ya utajiri wake hayajulikani chanzo rasmi ni kipi na kama vile kutafuta uungwaji mkono wa umma juu ya kanisa lake kuwa ni safi
Weeeee!!Sinners judging sinners for sinning differently
Ulikuwa wivu wa mapenzi hakuna kingineIlikuwaje amkatae mwenzake
Kwanza tutahakikishaje alimkataa kweli na hatupigi fix kutafuta kick tu?Unadhani kwanini alimkataa
Ushauri wa Shetani haa haaaEnyi wanadamu, kwanininajihesabia haki?
Kwanini mnahukumu wengine ilhali nanyi hamna tofauti na hao mnao wahukumu?
DuuuuhKwanza tutahakikishaje alimkataa kweli na hatupigi fix kutafuta kick tu?
Ohooooooo!!siku zake ziko ukingoni [pia hifadhi hii