Askofu Niwemugizi ashuhudia jinsi baadhi ya maaskofu 'walivyoomba poo' baada ya kitisho kutoka kwa mamlaka

Ibada iliongozwa G. Nyaisonga

Au mimi sikuwa makini?
 
Ibada iliongozwa G. Nyaisonga

Au mimi sikuwa makini?
Ambacho hujaelewa nini ndugu? Nyaisonga alisoma Misa kama misa lakini sehemu ya pili kwwenye ibada ya Mazishi na kuzika alifanya Niwemugizi , na kumbuka pia kulikua na Maaskofu wengine mfano yule wa Mwanza yeye alitafakari neno na kuna wengine hawakuwa na role kabisa kwenye ile siku japo walikuwepo. Kwahiyo yale maneno wewe ni mavumbi na mavumbini tunakurudisha lakini Bwana atakufufua siku ya mwisho ndio yalisemwa na Niwemugizi.
 
Jifariji kwa maneno ya kinafiki
 
Hata kinyesi hustiriwa vizuri, akuna shida yoyote Askofu Niwemugizi, kumstiri mjaa laana yule ili Tanganyika ipumue..
Askofu amefanya wajibu wake, iliobaki ni Mtupoli kuchezea "vitasa" vya moto wa Jehanamu.. DADEKI...
πŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈπŸ€ΈπŸΎβ€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈπŸ€ΈπŸΎβ€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈπŸ€ΈπŸΎβ€β™‚οΈπŸ€ΈπŸ½β€β™€οΈ
 
Huwa nafikiria huyu mzee asingekufa halafu wakabadili katiba ili agombee je miaka 10 toka sasa ingekuaje? Tulikua tunaenda kuwa another Zimbabwe for sure.
 
Mbona waliitwa Ikulu wakaandaliwa tafrija na kumwaga sala pale kama zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…