Marekani inafanana kidogo sana na sisi. Trump alijaribu umagufuli, ukamshinda maana kule wajanja wengi, huwezi kuzuia data. Lockdown ilitumika, maambukizi sasa yanashuka ndo wanaachia taratibu.
Tunaipenda Brazil sababu kule wana "kichaa" kama wa kwetu. Kali zaidi amekomaa na umagufuli japo data zinamuumbua.
Jamaa hakukosea kujiita "Bia yetu". Full time kalewa. Ila kwake yeye, "Bia" inaweza kuwa sio tu Serengeti Laiti au Safari, bali pia Kangara, Kimpumu, Komoni, Kindi, Muyakaya , Rubisi, gongo, pingu, nk.