Askofu Niwemugizi, Vyama vyote viwe na haki sawa. Sio nyie msifanye siasa, na anayesema hivyo ni Mwanasiasa

Askofu Niwemugizi, Vyama vyote viwe na haki sawa. Sio nyie msifanye siasa, na anayesema hivyo ni Mwanasiasa

Hawa ndio viongozi dini ambao hawajapotoka,viongozi wa dini wengine ni lazima wakumbushwe kwamba jukumu ni kuwatetea watu maskini wasio na sauti na sio kukaa tu kuwahimiza watu kutoa sadaka na kupiga kelele za amani wakati watu wengi sasa wanajua kuwa sisi tanzania tuna utulivu tu ila amani haipo kabisa.
 
Hawa ndio viongozi DINI ambao HAWAJAPOTOKA,viongozi wa DINI wengine ni lazima wakumbushwe kwamba jukumu ni kuwatetea watu MASKINI wasio na sauti na sio kukaa tu kuwahimiza watu kutoa sadaka na kupiga kelele za Amani wakati watu wengi sasa WANAJUA kuwa sisi Tanzania tuna utulivu tu ila Amani haipo kabisa.
Viongozi wa Dini kama Nabii Daudi. A ni A na B ni B not otherwise.
 
Hawa ndio viongozi DINI ambao HAWAJAPOTOKA,viongozi wa DINI wengine ni lazima wakumbushwe kwamba jukumu ni kuwatetea watu MASKINI wasio na sauti na sio kukaa tu kuwahimiza watu kutoa sadaka na kupiga kelele za Amani wakati watu wengi sasa WANAJUA kuwa sisi Tanzania tuna utulivu tu ila Amani haipo kabisa.
Utakuta CCM ndiyo inawaandama
 
wenzako akili zimerudi bado wewe. Ndugai , polepole, bashiru, bashite nani kanyooka zaidi ya hawa?
Bashiru, Ndugai na Polepole kila siku account zao zindacheka. Ila wewe unaepiga miayo muda wote unaona wamenyooka!

Bavicha mna laana
 
Back
Top Bottom