Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Askofu ubwabwa huyu, hajui kwamba hatusherehekei siku ya kuzaliwa bali 'tukio la kuzaliwa' Yesu.Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25,
Kumbe ni hawa askofu wa mchongo! Hiyo sauti tu inamtambulisha huyu ni tapeli.Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani,
Askofu Bendera amesema ukiona mtu amepanga kufanya uvunjifu wa amani siku ya kuzaliwa mfalme wa amani, basi huyo mtu maanake hawezi <uheshimu imani ya dini yeyote nchini, hivyo anapaswa kutozingatiwa kwani anaweza kuleta mgogoro wa kidini.
Askofu wanakuwa na akili kwasababu wanaoa na wanafamilia sio hao watawa hawajui chochote kuhusu maishaAskofu ubwabwa huyu, hajui kwamba hatusherehekei siku ya kuzaliwa bali 'tukio la kuzaliwa' Yesu.
Kwa maana hio tukio la kuzaliwa hata Leo unasherehekea tu, ndio maana kuna wengine wanasherehekea January
Acha watu wadai haki
Kwani lazima waiheshinu?Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani,
Askofu Bendera amesema ukiona mtu amepanga kufanya uvunjifu wa amani siku ya kuzaliwa mfalme wa amani, basi huyo mtu maanake hawezi <uheshimu imani ya dini yeyote nchini, hivyo anapaswa kutozingatiwa kwani anaweza kuleta mgogoro wa kidini.
Wewe ni Atheist haya kuhusuKwani lazima waiheshinu?
Mambo ya uongozi wa nchi ni mambo secular si ya dini.Wewe ni Atheist haya kuhusu
Ningependa kujua kuandamana kunatishiaje amani? Watu kutembea huku wameshika mabango hatujaanza leo sasa imegeukaje kuwa ni uvunjaji wa amani?Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani,
Askofu Bendera amesema ukiona mtu amepanga kufanya uvunjifu wa amani siku ya kuzaliwa mfalme wa amani, basi huyo mtu maanake hawezi <uheshimu imani ya dini yeyote nchini, hivyo anapaswa kutozingatiwa kwani anaweza kuleta mgogoro wa kidini.
Dhehebu gani huyu?Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani,
Askofu Bendera amesema ukiona mtu amepanga kufanya uvunjifu wa amani siku ya kuzaliwa mfalme wa amani, basi huyo mtu maanake hawezi <uheshimu imani ya dini yeyote nchini, hivyo anapaswa kutozingatiwa kwani anaweza kuleta mgogoro wa kidini.
Hii nadhani Kuna cinema mpya walikuwa wanasuka kuangalia namna wamwangushie Nan jumba bovu sema ikabumaHIVI HII KESI IPO MAHAKAMA GANI WADAU