Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka, makao ya Mungu na mtenda kazi wa Mungu."
Hapo anasisitiza msiwe malofa (loafers).
Tafasiri ya loafer (lofa) ni mtu mvivu.
Hawa jamaa wasomi akili kubwa kweli kweli. Wapo consistent na misimamo au kauli zao.
Wanakupiga spana kwa lugha ya kiutu uzima.