Wewe nakumbuka humu ulikuwa unasema maandamano ni taarabu lakini yakatokea. Endelea kusema taarabu . Siku hipoppotamus akifukuzwa na kuwa mkimbizi naomba uendelee kusema ni taarabuTaarabu
Piga domo tu ,mtakufa kweli kwa ujinga wenu..Hao viongozi wanaowachochea ,wao wanalishwa na kulala nyumba za bure wala hawaendi kuandamani.Wewe nakumbuka humu ulikuwa unasema maandamano ni taarabu lakini yakatokea. Endelea kusema taarabu . Siku hipoppotamus akifukuzwa na kuwa mkimbizi naomba uendelee kusema ni taarabu
Silaha yenu ni kuchochea na kuhamasisha chuki, uhasama, ghasia, uharibifu uporaji na mauaji miongoni mwa waTanzania kama mlivyofanya Rwanda, right baba Askofu muhashamu Rweyongeza?Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, akizungumza jana Oktoba 28, 2026, wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, Kanisa Kuu la Kayanga mkoani Kagera, amesema;
"Je, kuhalika kwa sala na maombi ni kuvuruga amani ya nchi? Nauliza nyinyi ni kuvuruga amani ya nchi? Kuombea marehemu waliofariki siku hiyo ni kuvuruga amani ya nchi? Kuombea taifa haki na amani ni kuvuruga amani ya nchi? Naomba mje tusali misa hizo na jioni rozari tutekeleze huo wito wa kuombea amani yetu.
Silaha yetu Wakatoliki, si mabomu, si mizinga, si bunduki, si mabomu ya machozi, ni sala. Ndiyo tusali. Hata siku hiyo mkikutana na mabomu ya machozi au ya moto kama siku hii ya 29, ndiyo tusali. Hakuna linaloshindikana kwa sala kwa Mungu"
Alipokuja papa John Paul ii 1990/91, kwenye risala yao kanisa katoliki,walisema Wana commission of armed forces,papa alishukuru hajaona sehemu duniani kanisa lina wasaa mzuri kama TanzaniaAskofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, akizungumza jana Oktoba 28, 2026, wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, Kanisa Kuu la Kayanga mkoani Kagera, amesema;