Wamewachokahapa kwetu hata ukikaa na matrafki ukipiga nao story suala la kucontrol boda hakuna majibu ya kueleweka,
boda hata wao wenyewe wameshindwa kushauriana wao wenyewe wafate sheria hata zile basic tu
Sahihi kabisa. Kiukweli bodaboda hazikutakiwa kuwa ajira, ni basi tu zilipoibuka CCM wakaona ni fursa ya kupumua kidogo kwenye kelele za ajira, wakafungua milango zijae barabarani.CHADEMA mkiingia madarakani pigeni marufuku bodaboda na kama ni lazima ziwepo basi wadhibitiwe kwa nguvu kubwa mno, hawa wanasabishia hili Taifa hasara kubwa kuliko faida
Yeah nilizikuta Kampala mwaka 2000 nafikiri.๐
Aise boda nlipanda kwa mara kwanza nlipokuwa kampala kitambo sana hapo tz bado hazijaingia
Kwa sana maana ug ndiyo kama kwa east Africa zilianza kwa kasi,nanhuko ilikuwa mshikemshike
Zilipoingia bongo kwwa kasi
Bila kuziwekea rules®ulation hapo walikosea
Maana zamani zlikuwa zinakuja pikipiki kama pikipiki, badaye wakawa wana zileta na kuzi assemble
Egypt Kuna pikipiki nyingi kuliko bongo lkn ajali ni chache
Boda anajifunza leo kesho tu anaingia road
Hawai viatu,wanavaa ndara hawavai helmet na wakivaa helmet zenyewe hazina ubora
Kingine barabara zetu hazina motorcycle lanes kama kwa wenzetu
Ova
It's very true.๐น๐น๐น Umefanya nicheke mpk ex wangu kajua nimefurahi kumuona..!!
What mnawaza unzinzi tu kila muda. Wtf bro? Behave basi hata heshima kidogo kwa marehem?Uskute huyo dereva boda alikua bwana wake
Hichi kizazi kinaenda kuwa Cha hovyo kuwahi kutokea na umaskini wa kutisha maana mawazo ya vijana wengi wa Sasa ni ngono tu mawazo chanya hakunaWhat mnawaza unzinzi tu kila muda. Wtf bro? Behave basi hata heshima kidogo kwa marehem?
Wakiomba gari mnaponda WANATAKA sadaka zenu wakifa Kwa ajali mnaona ni mafalaEti askofu. Askofu anasafiri na bodaboda! Self proclaimed Bishops.
Tena Mwanamke, wti ni Bishop!
All in Rest in Peace Bishop