Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

Siku hizi hatuiti UFISADI bali ni KULAMBA ASALI
 
Sio unatajwa, umetamalaki! Wapuuzi Sana hawa!
 
Kinembe usiingilie dini, ccm imemaliza hii nchi! Tuanze na hilo kwanza haya mengine yatajiseti tu!
 
Kasema mambo ya ufisadi yanayoanza kutajwatajwa kwa sasa. A strong diplomatic message.
 
Baba Askofu Shoo hutakaa uishi na kumuona rais M- KKKT
 
Kumbe wewe unampigia kura mgombea wa dhehebu lako!
ziko sababu nyingi sana za kupiga kura hiyo pia ni mojawapo. KKKT 2015 walisema ilikuwa zamu yao kwamba toka uhuru wajawahi kutoa rais na bado wanaota hizo ndoto na ziko kwa gaidi Mbowe. K wa gaidi Mbowe mkeka utachanika
 
Watawala hata neno HAKI hawalitaki. Shauri ya KIBURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…