Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Jikite kwenye mada,acha personal attacks
 
Wewe demu kwani una elimu gani zaidi ya upambe tu?Unaacha kujadili hoja iliyopo mezani unamjadili mtu? We danga tu la Lumumba watu wanajipigia tu.

Sijapata kuona mtu mwenye mdomo kama yehodaya Halafu Baada ya muda atajifanya anaanzisha nyuzi za kilokole!
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Poyoyo
 
Point yako ipo wapi?
 
angesifia nawewe ungamnanga kwamba anatafuta kukumbukwa.

siasa ni dili siku hizi.
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Hata utawala huu unajivunia ujinga wa waumini wake kama wewe. Mnaimbishwa maendeleo ambayo hayaonekani. Eti nchi ya viwanda wakati you can't showcase kiwanda hata kimoja. Mmekalia tu ujambazi kuwatishia wenye hela wawape mtambe mmekusanya pesa nyingi. Ujinga wenu endeleeni nao hivyo hivyo.
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Mawazo ya kimbolo haya[emoji86]
 
Litafanywa kuwa genge la wahuni sio kanisa, maana kanisa halitakiwi kujihusisha na mambo ya siasa,
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Imeingia hiyo inapotakiwa,kudadeki.
 
Huo ndio mwisho wako wa kufikiria?
 
Mhashamu Baba Askofu Munga, hiyo serikali unayoisema kila mara na yenyewe ikianza kukusema, hautabaki salama!
 
Wewe in dk huyo na anajuwa anachoongea siyo kama nyie ni kusifu na kuabudu tu.
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Bila shaka wewe ndiye mjinga kuhoji usiyoyajua! Sijui kwa nini baba yako hakutumia condom kuzuia kuzaliwa kiumbe fake kama wewe!
 
Huyo ndio ninayemjua kiongozi wa kiroho.
Cha kushangaza maringo ,kejeli, majigambo na dharau za watawala ni dola baaaasi. Mwenzao anajuta alichokifanya Zanzibar, waliopo wanatishia Wananchi kitu hicho hicho!
 

Huu utetezi inaonekana ww una degree 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…