ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Acha aseme ni haki yake, kama ambavyo akina mgogo,Lusekelo,kakobe,akina shekhe Mussa,na wengine wanavyotoa maoni yao kwa nyakati tofauti...Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
RC sijui wanaishi Nchi gani? Hawapo Tz
Mkuu imenilazimu kuchangia ila sitachangia kisiasa! Ila ninapenda kukushauri kutopenda siasa kupita kiasi, kiasi kwamba inakufanya unakashifu ama kuwakejeli watz wenzako! Hivi unaposema Tanga wanapenda kujipodoa na wanawake... huoni unawakosea sana watanga? With due respect mkuu acha hizo! Mimi ni Mangi ndugu zangu hawa huwa ninawapita kuelekea nyumbani lakini kamwe siwezi kuwaeleza hayo maneno!
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Ndio kwa nyongeza watu ni wagumu sana kuelewa. Mkapa alisema mauaji ya Pemba/Zanzibar yalitia doa utawala wake. Maana yake ni kuwa anaonya yanayoendelea sasa na ya kale yameisha. Ishara ya sasa ni kuwa yanaweza kutokea mauaji pale wananchi wakiamua kudai haki zao na hilo kutia doa yaani kuzua balaa kwa utawala wa sasa unaojinasibu na maendeleo kama tunavoelezwa. Uporaji wa haki katoka uchaguzi ni dalili mbaya mbaya mbaya!
R C wako busy masikio yameelekezwa Vatican kusikiliza maamuzi ya Papa kili viongozi waowe.RC sijui wanaishi Nchi gani? Hawapo Tz
RC utawaona rais akiwa muislam au dhehebu jingineRC sijui wanaishi Nchi gani? Hawapo Tz
RC wana utaratibu wao wa kutoa matamko, sio kila askofu anatoa tamko wataligawa kanisa kanisa halina chamaRC sijui wanaishi Nchi gani? Hawapo Tz
Hao RC tunawajua vizuri na tulishawapotezea muda mrefu. Ni bahati mbaya hii sio mada ihusuyo hao RC.
Nguruwe weweRudia comments zako za nyuma ulivyokuwa una mwabudu kila akisema kitu unashangilia kama zezeta. Kama ambavyo sasa unavyoshangilia upuuzi wa huyu Askofu Uchwara wa KKKT siku akibadilisha gia angani na wewe utageuka kama wafanyavyo wananyama wa Serengeti.
Wewe nguruwe unaweza kumlinganisha Askofu Munga na huyo mropokaji wenu Mzee wa kwichi kwichi?Rudia comments zako za nyuma ulivyokuwa una mwabudu kila akisema kitu unashangilia kama zezeta. Kama ambavyo sasa unavyoshangilia upuuzi wa huyu Askofu Uchwara wa KKKT siku akibadilisha gia angani na wewe utageuka kama wafanyavyo wananyama wa Serengeti.
Watawala ndo wanaotumia a ujinga wa wana ccmAkitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Hao kina Munga ni maaskofu uchwara.Binafsi sina askofu yeyote ispokuwa maaskofu wa Kanisa Katoliki basi; hii ni kwa mujibu wa sheria za kanisa (canon laws). Hawa wengine kwa kanisa Katoliki hawana hadhi ya kiaskofu na hawawezi kutoa sakrament yoyote; kilichopo na kinachoonekana, ni kuheshimiana na kutambua kuwa tunaishi katika jamii wa watu wanaotofautiana.
Wanaufahamu uaskofu wao huko kwao lakini kwa sheria za kanisa hawatambuliki. Ndiyo maana maaskofu wa Katoliki hawapo CCT bali tuna TEC, Afrika tuna AMECEA.Hao kina Munga ni maaskofu uchwara.
Ujinga upi tulionao waumini unaouzungumzia ?Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Ndio kwa nyongeza watu ni wagumu sana kuelewa. Mkapa alisema mauaji ya Pemba/Zanzibar yalitia doa utawala wake. Maana yake ni kuwa anaonya yanayoendelea sasa na ya kale yameisha. Ishara ya sasa ni kuwa yanaweza kutokea mauaji pale wananchi wakiamua kudai haki zao na hilo kutia doa yaani kuzua balaa kwa utawala wa sasa unaojinasibu na maendeleo kama tunavoelezwa. Uporaji wa haki katoka uchaguzi ni dalili mbaya mbaya mbaya!