Ulitafiti na ubora wa huduma? Je unayo mifano yenye ushahidi?Toka wabanwe kwenye hospital yao ya KCMC ikiwemo mapato kupungua baada ya serikali kuwabana kwenye gharama kubwa za matibabu na kuongeza vituo vya afya vya kutosha wamekuwa wakali sana.
Rais alipokutana na viongozi wa dini kuna mmoja wa kkkt kutoka huko alilalamika kitendo cha serikali kujenga vituo vya afya maeneo ambayo wao wanatoa huduma. Rais akawaambia tatizo lao wanatoza gharama kubwa za matibabu ikiwemo ubadhirifu.
Rais akasema serikali inawapa ruzuku na kuwalipa madaktari ila wao gharama zao zipo juu.
Wana mengi sana hao wafanyabiashara maaskofu. Nao ni waathirika wa serikali wa awamu ya tano.
Hicho ulichosema ndio kichochoro cha kuminya demokrasia na kupora haki za binadamu wengine?Anadhani urais wa nchi ni kama kuendesha dayosisi ambayo ndani yake wamejaa nyumbu. Watu wasiohoji wala kutumiwa na mabeberu. Yaani wanakuja wanatoa sadaka wanasepa. Hawahoji sadaka inatumikaje.
Siku ikianza programu ya waumini kuwahoji watakimbia makanisa.
Achana na huyo kilazaOna shida uliyonayo! Ulitaka ayazungumzie maoni yaliyo kichwani mwako? Vipi angeunga hoja, ungemtaka agombee? Jifunze kuruhusu mawazo pinzani ili ujijenge!
Ndio gear yenu ya kutesea watu hii?Litafanywa kuwa genge la wahuni sio kanisa, maana kanisa halitakiwi kujihusisha na mambo ya siasa,
Iseme tu ila isiteke na kuchoma kitu chenye ncha kaliMhashamu Baba Askofu Munga, hiyo serikali unayoisema kila mara na yenyewe ikianza kukusema, hautabaki salama!
Hilo tunalijua lakini inauwezo wa kum- manipulate. Wewe ulitegemea Gwajima na Kakobe wawe kwenye praise team?Nona unamtamka kama maharage, na hicho ndo udhaifu mlio nao; unafikili CCM inao uwezo wa kumfanya padre Nyaisonga, kuwa Padre, Mhashamu Baba Askofu Mkuu na Mwenyekiti wa TEC?
Gwajima na Kakobe imebidi waendane na mfumo, baada ya kuwa mtu wao (fisadi lowassa) kushindwa. Walidhani lowassa angeshinda waibe. Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA kimeandikwa na Dr. Slaa. Wameona bora wanyumbulike maisha yasonge.Hilo tunalijua lakini inauwezo wa kum- manipulate. Wewe ulitegemea Gwajima na Kakobe wawe kwenye praise team?
Gwajima na Kakobe imebidi waendane na mfumo, baada ya kuwa mtu wao (fisadi lowassa) kushindwa. Walidhani lowassa angeshinda waibe. Soma kitabu kiitwacho NYUMA YA PAZIA kimeandikwa na Dr. Slaa. Wameona bora wanyumbulike maisha yasonge.
Umesema?Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Sasa wewe unayejua kwanini unahangaika na watu wanaokuwa blackmailed?Basi hujui kitu. Walikuwa blackmailed.
Na wewe usiwe unasema "Sisi tunaona kuna Uhuru wa kutosha", sema wewe ndio unaona kuna Uhuru wa kustoha, sijui unamsemea nani ?, Unapomkosoa Mtu jiangalie kwanza wewe mwenyewe, unaweza kuwa umejinyea hapo ulipo.HALAFU MKIWA M
HALAFU MKIWA MNATOA MAONI AU MISIMAMO YENU YA KIPUUZI MSEPENDE KUSEMA WATANZANIA SEMA WW NA FAMILIA YAKO AU MKEO MAANA SISI HATUONI KAMA TUMEFUNGWA MIDOMO NA TUNAONA KUNA UHURU WA KUTOSHA UKIACHANA NA HAO WANAOTUMIKA KUTUVURUGIA NCHI UKIWEMO WW UNAEJIFICHA KWENYE KIVULI CHA DINI TENA ACHA KABISA KUJUMLISHA WATU WOTE WA NCHI HII UNAPOTAPIKA MAONI YAKO...KANYAGA TWENDE MAGUFULI ACHANA NA HAWA VIBARAKA
Uhuru upo tena wa kutosha na kama huoni uhuru hama nchi achana na kusemea watu na kama kujinyea huo ni uamuzi wangu hata hicho ninachokinya hukunilisha ww so hauna uhalali wa kunipangia nyau mmoja uNa wewe usiwe unasema "Sisi tunaona kuna Uhuru wa kutosha", sema wewe ndio unaona kuna Uhuru wa kustoha, sijui unamsemea nani ?, Unapomkosoa Mtu jiangalie kwanza wewe mwenyewe, unaweza kuwa umejinyea hapo ulipo.
Kama huyo mvaa kofia unamwita baba ni kwako mm kwangu ni nyau kama wengine nina mtambua Rais wangu tu alieamua kujitoa maisha yake kwa maendeleo ya nchi hii tanzania hahahaaa makofia anahangaika buree..halafu acha kumtaja Mungu kwa vitu vya ajabu hakuna muwakilishi wa Mungu duniani sisi sote ni binadamu tu na wote tuna mwabudu yeyeSasa na wewe mbona unarudia kosa hilohilo kwa kuwazungumzia wasiokutuma? "Sisi"! Hakuna aliyekutuma umjibu baba askofu! Au nawe unaiwakilisha familia yako?
Umeona nguvu ya Mungu ilivyokupovusha na kuyaandika usiyotumwa? Migongano ya mawazo na mtazamo huulisha na kuunawirisha ubongo ulio hai! Jifunze hapa!
Kwahiyo ukila leo kesho huli sababu ulishakula jana?
Mwasisi wa Kanisa hilo alipingana na kanisa la Kardinali Pengo. Huyo mwasisi anaitwa Dr. Martin Lutther. Mungu anafuata nyayo za mtangulizi wake.KKKT wapo moto sana!! Hongera sana
Mbona una hasira? Umeguswa penyewe?Mkuu imenilazimu kuchangia ila sitachangia kisiasa! Ila ninapenda kukushauri kutopenda siasa kupita kiasi, kiasi kwamba inakufanya unakashifu ama kuwakejeli watz wenzako! Hivi unaposema Tanga wanapenda kujipodoa na wanawake... huoni unawakosea sana watanga? With due respect mkuu acha hizo! Mimi ni Mangi ndugu zangu hawa huwa ninawapita kuelekea nyumbani lakini kamwe siwezi kuwaeleza hayo maneno!
Sorry, sikukulenga wewe. Samahani sana!Mbona una hasira? Umeguswa penyewe?