Askofu wa Anglikana adai kukosekana kwa Mshindi wa Tuzo ya Ubikira kabla ya Ndoa

Askofu wa Anglikana adai kukosekana kwa Mshindi wa Tuzo ya Ubikira kabla ya Ndoa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1680526968659.png

Askofu Mkuu wa Anglikana, Stephen Kaziimba Mugalu amenukuliwa na Tovuti ya Serikali ya #NewVision akisema kuwa bado ana zawadi zinazojumuisha 'kiasi kikubwa cha fedha' zilizokusudiwa kwa Wanawake waliofunga Ndoa wakiwa bado Bikira

Mpango huo wa Tuzo ulianzishwa mnamo Mwezi Julai, 2022, ambapo unalenga kuhamasisha uchumba safi na wenye afya na hatimaye ndoa zinazoheshimika

Hata hivyo Washiriki wa Mpango huo ni Wanawake pekee kwa kuwa ni vigumu Wanaume kuthibitika iwapo ni wamewahi kushiriki kimapenzi au laa. Washindi wa mpango huo huthibitishwa na Wanachama wa Umoja wa Akina Mama wa Kanisa hilo
......

Ugandan archbishop’s virginity prizes unclaimed
International

Archbishop Stephen Kaziimba Mugalu said the initiative focused on women as men's virginity was difficult to prove.

Uganda's Anglican archbishop is stuck with prizes meant for women who wed when still virgins, state-owned New Vision website quotes him as saying.

Archbishop Stephen Kaziimba Mugalu said the initiative focused on women as men's virginity was difficult to prove.

It includes a "big sum of money" which has never been won, the website reports.

A group of women, members of Mothers Union, was to verify eventual winners.

"This is the only project I have ever started with cash prizes, but failed to find one to take the cash," he is quoted as saying over the weekend.

He said the initiative was inspired by Mary the mother of Jesus who Christians believe was made pregnant miraculously by God while she was still a virgin.

Source: The Standard
 
Kwahiyo, anachomaanisha huyu Askofu Bishop ni mambo mawili; Aisha tangu zawadi hiyo itangazwe Kanisa lake nchini halijawahi kufungisha ndoa au wanaofunga ndoa wanakiri kuwa waliishaondoa bikra zao long time ago na waume zao wajue Hilo!
 
Hata hivyo Washiriki wa Mpango huo ni Wanawake pekee kwa kuwa ni vigumu Wanaume kuthibitika iwapo ni wamewahi kushiriki kimapenzi au laa. Washindi wa mpango huo huthibitishwa na Wanachama wa Umoja wa Akina Mama wa Kanisa hilo
Hajui kuna mitishamba inarekebisha hilo kosa?
Hajui kuwa anahamasisha wanawake waende kinyume na maumbile ili waonekane hawajaguswa?
Je haki za binadamu zinasemaje pale mwili unapohitaji? je haja izuiliwe kwasababu ya zawadi?
 
Haja izuiliwe mpaka ampate mwenza.
 
Back
Top Bottom