'Askofu' wa Freemason-TZ aitwe kutoa ushahidi kesi ya Kanumba!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Kifo cha msanii kanumba kimegubikwa na utata mkubwa.
Riport ya postmoterm (iliyosomwa na daktari kwenye hearing ya kesi ya Jamuhuri v/s Lulu) haioneshi kama Kanumba alikutwa na aina yeyote ya jeraha (either kwa kupigwa na kitu kizito au kuchomwa na kitu chenye ncha kali), hakukutwa na ugonjwa wowote, na wala hakuonekana kupewa sumu wala kunyongwa!
Kwa maana hiyo hakukuonekana external agency ambayo ingeweza kusababisha kifo hicho.
Riport hiyo ya daktari inaconclude kuwa Kanumba did not die of natural causes, he didnt die of unnatural causes but he may have died of mysterious causes.
Kwa maana hiyo kwa kuwa Kanumba amekuwa akihusishwa na uanachama wa Freemason ingekuwa vyema kama kiongozi wao akaja kushuhudia mahakamani iwapo Freemason walimchukua kikafara au hata kama aliwahi kuwa mwanachama wao ili ukweli ukatuweke huru.
 
Watanzania bwana shigongo na magazeti yake kawaharibu....
Namimi naungana na CEO wa jf ya kwamba kuna mtu anaweza post kitu ukawaza hivi alikuwa anafikiria nini mpaka kuandika vile.
 
Serikali haiamini mambo ya giza
 
mkuu subiri........watakuja kukujibu
 
Kifo ni kifo tu
unaweza kufa Usingizini
waweza kufa upo juu ya Tumbo la mwanamke
nako kunahitaji Jeraha!
Mie naona Mambo ya mwenyezi mungu mwanadamu tumuachie yeye tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu hivi ni kweli unaweza kufia kwenye Tumbo la Mwanamke ???
 
Elimu ni kitu muhimu sana.
 
Mtt ambaye hajazaliwa ndio anafia kwenye tumbo.. Mwanaume anafia kifuani kw mwanamke.. Alichoandika jamaa hapo juu ni gramatical error!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa ..... Kwa hiyo Mwanaume unaweza kufia kifuani kwa Mwanamke ???
 
Usiingize mambo ya kishirikina kwenye mambo ya kisayansi na kisheria
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu hivi ni kweli unaweza kufia kwenye Tumbo la Mwanamke ???
Kama huna nguvu za kutosha za kiume yanaweza kukukuta haya.Kula chakula ushibe ndiyo utaweza kupiga mashine
 
Wale wakitaka kesi iishe itaisha tu, hawapendi siri zao zivuje hata haka kadada inaweza kalijisahau ndo imeibuka upiya
 
Wenyewe wanasema dini yao ni ya siri wewe una suggest ajitokeze akatoe ushuhuda.
 
Kukimbia kwa Lulu bado kunaacha maswali
Kwenye kesi kama hizo ripoti ya dakati au mkemia mkuu huwa zina uwezo wa kuamua hukumu.
Tuiache mahakama itoe hukumu maana hata ushahidi wa kimazingira nao unaweza kushawishi kutoa hukumu ya kifungo
 
Hata wewe upo na mpenzi wako mara ghafla akadondoka unajaribu kumuamsha kimya unamwagia maji bado kimya kwa umri ule wa Lulu lazima akimbie
 
Huu msala omba Mungu usikukute mimi niliwahi pata trailer yake kidogo nichanganyikiwe na kukimbia...
 
Hata wewe upo na mpenzi wako mara ghafla akadondoka unajaribu kumuamsha kimya unamwagia maji bado kimya kwa umri ule wa Lulu lazima akimbie
umri gani wa lulu?unataka kusema kuwa ni mdogo?mbona alikua na wapenzi
 
Mtt ambaye hajazaliwa ndio anafia kwenye tumbo.. Mwanaume anafia kifuani kw mwanamke.. Alichoandika jamaa hapo juu ni gramatical error!
Kwani lazima umlalie kifuani? Kwanini mwanaume asifie kwenye kinena au kisofa au juu ya K?Ukipiga mbuzi kagoma unaweza fia kwenye chura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…