shedyboi
Member
- Jan 21, 2012
- 93
- 5
Nikaribisheni wakuu nilikuwa mpitaji tu, nikawa navutiwa day after day. Kuna thread zenye kuhuzunisha na kuliza but,,, kuna zingine ni taaaamu inafika mahala ukisoma bila kukoment chochote unaumia kbsaa, peke angu siwezi but i belive together we can.Nakupenda, usiponipenda mi ntakupenda tu, tumeumbwa tupendane tusipopendana ni nani hasa atakaetupenda? W'KEND NJEMA