shedyboi
Member
- Jan 21, 2012
- 93
- 5
Nipokeeni ndugu zangu kwa mikono yenu yoote miwili. Nimekuwa nikipitia thread zenu wakuu pasipo kuchangia daaah,nimeona nakuwa napitwa maana kuna thread nyingine ni tamu kweli kweli, nyingine zina uchungu hadi nalia siku zingine but,,, hii ndio nchi yetu Tanzania yenye nyingi ahadi tuamue kuuvaa uzalendo tutafanyaje sasa???.
Nawaombeni amani na upendo vitutawale maana Tanzania ndo nchi yetu fikiria sana pale amani itakapokuwa inatoweka kabisa tutaenda wapi mimi na wewe? Ukipata jibu tuvumiliane. nakupenda usiponipenda mimi ntakupenda hivohivo kwasababu binadamu tumeumbwa tupendane, tusipopendana wenyewe tutapendwa na nani??
USHANIFAHAMU UZURI; W'KEND NJEMA MIA.