elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Aslay ana kipaji kikubwa sana.
Kwanza ameweza kutoa hit songs mfululizo na zote zikapendwa yani akipanda jukwaani mashabiki wanaimba wenyewe.
Ila tatizo ninaloona mbeleni linaweza kumuathiri, ni kwamba nyimbo zake kama zinafanana flani.
Kuna huu wimbo ambao kaimba na nandy unafanana na ule wa natamba kuanzia beat hadi melody hata kupanda na kushuka kwa sauti.
Hiki si kitu kizuri, najua anakipaji kikubwa inawezekana tatizo ni la producer alimgongea mdundo unaofanana na uliopita maana ni studio ile ile.
Hii inanikumbusha shirko na nyimbo za berryblack.
All in all keep the good music alive you’re good Aslay.