Aslay anajua ila ....

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Aslay ana kipaji kikubwa sana.
Kwanza ameweza kutoa hit songs mfululizo na zote zikapendwa yani akipanda jukwaani mashabiki wanaimba wenyewe.
Ila tatizo ninaloona mbeleni linaweza kumuathiri, ni kwamba nyimbo zake kama zinafanana flani.
Kuna huu wimbo ambao kaimba na nandy unafanana na ule wa natamba kuanzia beat hadi melody hata kupanda na kushuka kwa sauti.
Hiki si kitu kizuri, najua anakipaji kikubwa inawezekana tatizo ni la producer alimgongea mdundo unaofanana na uliopita maana ni studio ile ile.
Hii inanikumbusha shirko na nyimbo za berryblack.
All in all keep the good music alive you’re good Aslay.
 
He is young and if he opens his mind to new ideas...the limit is the sky
 
Maneno haya ni kama tu ambayo mlikuwa mkimwambia Diamond.

Ila ndo hvyo mnazidi timuliwa vumbi tu.
Siyo kwamba anaombewa mabaya maana aslay anapendwa na watu wengi ila lengo ni kumfanya awe bora zaidi maana consumers ndiyo wanaojua utamu wa bidhaa
 
Wimbo wa kolo ndo kanikera kabisa na katukera karibia wanawake wote
 
Wanawake wote wachafu wamekerwa.. demu wangu msafi anaupenda balaa na hapa anausikilizwa kwa sauti ya juu kumnanga jirani yetu mchafu
Huyo demu wako hajielewi huu wimbo kadhalilisha wanawake na hao wanawake ni miongoni mwa wazazi wenu em acheni utoto kuhusu demu wako kumuimbia jirani hiyo hainihusu HV kuna watu wananuka makwapa kama wanaume?? Mnakeraga sema hamjui tu. Anaeshabikia huu wimbo hajielewi au labda hana mama, Dada , mashangazi n.k
 
Punguza jazba kidogo au na wewe ni .....
 
Maneno haya ni kama tu ambayo mlikuwa mkimwambia Diamond.

Ila ndo hvyo mnazidi timuliwa vumbi tu.
SI KAWAFUNIKA SANA TEAM YOO HUKO FIESTAAA

SO HAWAKAPEND

Msanii unajiura mkubwa, bado unapandishwa basi moja na man fongo


Next yearaslay ataachana na fiesta naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…