Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Si yeye tuNa kweli
Ila Aslay hanaga vision za mbali yaan
Naskia siku hizi anamla nandy kama kuku...yaani anytimeAkazane ashinde tuzo za kimataifa, sasa we mtu gani atapata tuzo ikiwa anashinda na kina nandi tuu wanamfanyia ruge matamasha. Hata kua kimziki hahitaji collable na Nandi yafaa atoke nje ili ajulikane
Mmmmh! Sidhani kibaba kwani Nandi si mali ya Ruge.Naskia siku hizi anamla nandy kama kuku...yaani anytime
mwanamke ni mwanamke tu...dogo kishafumua na fumua kiwiziwiziMmmmh! Sidhani kibaba kwani Nandi si mali ya Ruge.
Aslay pale naye ni mpenzi mtazamaji tu likely
Mimi nna was was na hilo kwa kwelimwanamke ni mwanamke tu...dogo kishafumua na fumua kiwiziwizi
aslay namjua personally tangu 2014. trust me, he's a playerMimi nna was was na hilo kwa kweli