Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Hahhaa vipi mama wewe ndo una kiuno kizito kama injini ya Fuso? Maana umeguswq kweli kweli.
 
Kuna mambo ambayo ni ya kuongea chumbani ukishaweka hadhalani umemdhalilisha mlengwa au unafikiri ukimwambia mwanaume hujui Kazi kitandani watu wakasikia si umemdhalilisha
Kibamia, dume suruali n.k mbona hayasemwi chumbani ni mitandaoni ila vidume hatusemi tunadhalilishwa
 
Kwa hiyo tunyamaze?
Mkuu mwambie chumbani "baby fua chupi oga vizuri, mm napenda ukikata kiuno ataelewa sasa mkuu unavumilia miaka yote hiyo halafu mkiachana ndo unamwambia[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama sio maneno ya mkosaji
 
Tumeumbwa na aibu,na ndio maana wakati mwingine ukigegeda mara moja unamblock kila mahali maana ile harufu inakuwa haitoki puani.
 
tatizo lake i kutaka kutoa nyimbo nyingi mno katika mwaka mmojasasa anakosa cha kuiimba na hatimaye anaimba utumbo,na ni dhahiri hana mshauri
Nachojua mm aliibiwa flash disk yenye nyimbo ambazo hajarelease ndo mana anafanya hivyo ili mtu asijetoa akajimilikisha
 
Mkuu mwambie chumbani "baby fua chupi oga vizuri, mm napenda ukikata kiuno ataelewa sasa mkuu unavumilia miaka yote hiyo halafu mkiachana ndo unamwambia[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama sio maneno ya mkosaji
Maneno ya mkosaji wakati umegegda miaka 3?Hakuna mpaka uambiwe hayo yote we mwanamke wa vipi?
 
Tumeumbwa na aibu,na ndio maana wakati mwingine ukigegeda mara moja unamblock kila mahali maana ile harufu inakuwa haitoki puani.
Huyo wa Mara moja sawa hapa nazungumzia huyo alimuimba aslay kakaa naye muda wote huo alikuwa hayaoni mpaka amemuacha ndo alalamike redioni
 
Pole sana ila ndiyo kazi ya fasihi hapa anawakosoa wale wote wenye sifa hizo ili wajirekebishe ila tatizo hapa fasihi iliyotumika ni ya mtaani sana na isiyo na staha.
 
Nilileta uzi humu wa hizi harufu mwisho ukafutwa kwa sababu ya uchochezi na ugonvi wa rafiki yangu kapeace,Nendeni sasa mkafungie na nyimbo nyie modes si mnauwezo?
 
Maneno ya mkosaji wakati umegegda miaka 3?Hakuna mpaka uambiwe hayo yote we mwanamke wa vipi?
Tobaa ilahi kwahiyo unakaa miaka 3 na mwanamke kama wa aslay halafu baadae unakuja kulalamika.. Nyie alowaloga keshatangulia mbele za haki aisee
 
Tobaa ilahi kwahiyo unakaa miaka 3 na mwanamke kama wa aslay halafu baadae unakuja kulalamika.. Nyie alowaloga keshatangulia mbele za haki aisee
Kujipa moyo kuwa atabdilika lakini wapi!afu na ukute kiuno zero pia.Mkuu me nikikukuta na harufu ya prawns wallahi sirudi nakublock.
 
Kwani unazo hizo sifa alotaja Asley hapo juu???
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wasanii wa bongo fleva wana mashairi mazuri?
 
Pole sana ila ndiyo kazi ya fasihi hapa anawakosoa wale wote wenye sifa hizo ili wajirekebishe ila tatizo hapa fasihi iliyotumika ni ya mtaani sana na isiyo na staha.
Nami najua na hakuna MTU anaependa tabia za mwanamke wa dizain hii lkn ule wimbo kwakweli maneno sio mazuri kuyatamka ktk jamii kumbuka kuna mama, Dada ,shangazi nao wanasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…