Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
- Thread starter
-
- #201
Umefutwa kwasababu unamdhalilisha mwanamke mwanamkeNilileta uzi humu wa hizi harufu humu mwisho ukafutwa kwa sababu ya uchochezi na ugonvi wa rafiki yangu kapeace,Nendeni sasa mkafungie na nyimbo nyie modes si mnauwezo?
Sijasema mwanamke akiwa mchafu asiambiwe Bali umwambie ww kama ww sasa ukitangaza mitandaoni ndo utakuwa umemsaidia??[emoji23][emoji23][emoji23] wapi imeandikwa hiyo haki mkiwa wachafu muambiwe chumbani tu, alaf usiwe selfish coz hizo haki ni moja ya njia za kumsupport mwanamke asinyanyasike tu, usijidanganye wanawake ndo mna haki wanaume hawana
Mbona kuna uzi uliletwa wa pumbu kunuka haukufutwa?nimegundua modes wana papuchi wote na inawakera zikiandikwa!Wakafute na wimbo sasa.Tena unakuta mwanamke mzuriii hapa katikati ya matako ukimbinua pana rangi tofauti sijui ni nini!Umefutwa kwasababu unamdhalilisha mwanamke mwanamke
Vibamia hamtangazi mitandaoni?nani katunga jina kibamia?Sijasema mwanamke akiwa mchafu asiambiwe Bali umwambie ww kama ww sasa ukitangaza mitandaoni ndo utakuwa umemsaidia??
Chumbani imeshindikana ndo mana, alafu ht ambao hawana mabwana wakuwaambia chumbani wanafaidika kupata ujumbe nje ya chumba coz wanaume wngn hawasemi kuhofia atamvua confidence mwanamkeSijasema mwanamke akiwa mchafu asiambiwe Bali umwambie ww kama ww sasa ukitangaza mitandaoni ndo utakuwa umemsaidia??
Aaah wapi mkuu nyie mnatumia vichwa viwili kwahiyo kama unaweza kukaa na mwanamke wa dizain hiyo for too long bas kichwa cha chini kinazid cha juuKujipa moyo kuwa atabdilika lakini wapi!afu na ukute kiuno zero pia.Mkuu me nikikukuta na harufu ya prawns wallahi sirudi nakublock.
Sasa kama hujamwambia ww aslay atakusaidia?? Ule atausikia kama wimbo tu lkn ww ukimwambia means mlengwa ni yeyeChumbani imeshindikana ndo mana, alafu ht ambao hawana mabwana wakuwaambia chumbani wanafaidika kupata ujumbe nje ya chumba coz wanaume wngn hawasemi kuhofia atamvua confidence mwanamke
Aslay anafanya kazi ya fasihi lazima asaidie tena kwa double standard, au hujui fasihi na kazi zakeSasa kama hujamwambia ww aslay atakusaidia?? Ule atausikia kama wimbo tu lkn ww ukimwambia means mlengwa ni yeye
Atabadilika VP bila ww kumwambia ?? Au ww utajuaje kama mapmb yanatema bila kuambiwa ..waambie hao wanawake zenu na sio kudhalilisha wanawake mitandaoniKujipa moyo kuwa atabdilika lakini wapi!afu na ukute kiuno zero pia.Mkuu me nikikukuta na harufu ya prawns wallahi sirudi nakublock.
Tumeshasema sasa osheni papa jamani,papa inaharufu kali sana wakati maji yapo,acheni kuchambia karatasi,tumieni maji u sister do hautawasaidia kitu.Tatizo lenu mnahangaika saaana kujiswafi mdomo wa juu mdomo wa chini mnausahau.Atabadilika VP bila ww kumwambia ?? Au ww utajuaje kama mapmb yanatema bila kuambiwa ..waambie hao wanawake zenu na sio kudhalilisha wanawake mitandaoni
Mkuu acheni kuchukua wanawake wa kimboka afu unakuja kulialia huku halaf kingine japo aslay hajawaimba lkn na nyie sugueni mapmb hayo na vikwapa mvikwatue vinatemaTumeshasema sasa osheni papa jamani,papa inaharufu kali sana wakati maji yapo,acheni kuchambia karatasi,tumieni maji u sister do hautawasaidia kitu.Tatizo lenu mnahangaika saaana kujiswafi mdomo wa juu mdomo wa chini mnausahau.
Huo ni wimbo tu lkn umegusa pande zoteNami najua na hakuna MTU anaependa tabia za mwanamke wa dizain hii lkn ule wimbo kwakweli maneno sio mazuri kuyatamka ktk jamii kumbuka kuna mama, Dada ,shangazi nao wanasikia
Pande zote kwa maana na mwanaume kaguswa??Huo ni wimbo tu lkn umegusa pande zote
Mje mtusugulie mapumbu kama yananuka,vikwapa mmeambiwa nyie na chupi unakuta nyeupe mpaka imekuwa cream au rangi ya damu ya mzee,Viantena hamna,viuno hamna,na uchafu juu.Mkuu acheni kuchukua wanawake wa kimboka afu unakuja kulialia huku halaf kingine japo aslay hajawaimba lkn na nyie sugueni mapmb hayo na vikwapa mvikwatue vinatema
Sasa mbona mnatusukumizia ss hizo tuhumaNdyo kwani tendo halifanywi na mtu mmoja bali wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona sasa mlivo hampendi ukweliMje mtusugulie mapumbu kama yananuka,vikwapa mmeambiwa nyie na chupi unakuta nyeupe mpaka imekuwa cream au tangi ya damu ya mzee,Viantena hamna,viuno hamna,na uchafu juu.
Inferiority matterSasa mbona mnatusukumizia ss hizo tuhuma
Nyie si ndio mmelalamikia wimbo wa aslay?sisi tumekubaliana na hali hyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona sasa mlivo hampendi ukweli