Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Hapo kuna kaa-ukweli wanawake wamekuwa wavivu sana tena wengi wao wapo katika ndoa na uvivu ndiyo huleta uchafu wapo wanao oga asubuh mpaka asubuh tena kwenye chup hapo ndiyo balaa!
 
hivi mbona hamnaga uzalilishaji wa wanaume?
amaa kweli mwanamke kiumbe dhaifu sana
 
Hapo kuna kaa-ukweli wanawake wamekuwa wavivu sana tena wengi wao wapo katika ndoa na uvivu ndiyo huleta uchafu wapo wanao oga asubuh mpaka asubuh tena kwenye chup hapo ndiyo balaa!
Na nyie kwann hamfui boxer??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…