kidochi og
Member
- May 27, 2020
- 45
- 74
Kweli mzee inaboa angalau kidogo Mario anajaribu Mara moja moja kutoa club bangerAslay yuko juu sana ila hawa majamaa washawahi kweli wimbo wa amshaamsha kama za club ?hii style yao kila wimbo wanalia inakera
Unless "hit" iwe ina maana pana."We kidawa kwa nini unautesa moyo kidawa......?" hii nyimbo hatari,Mario mzuri ila bado hajafikia level za Aslay.
Sizani kama kuna msanii alishawahi kutoa hiti zaidi ya 14 ndani ya mwaka mmoja zaidi ya Aslay.
Typing error ni hitsunless "hit" iwe ina maana pana.
Marioo ana bangers kadhaa za motoAslay yuko juu sana ila hawa majamaa washawahi kweli wimbo wa amshaamsha kama za club ?hii style yao kila wimbo wanalia inakera
Binafsi namkubali Sana Mario kidogo huwa anabadilikabadilika compare na aslay"We kidawa kwa nini unautesa moyo kidawa......?" hii nyimbo hatari,Mario mzuri ila bado hajafikia level za Aslay.
Sizani kama kuna msanii alishawahi kutoa hiti zaidi ya 14 ndani ya mwaka mmoja zaidi ya Aslay.
Comment yako yakibabe sana mkuu 😂😂😂, umeona utaje kwamba una usafiri kiujanjaKwenye ndinga langu namsikilizaga sana Marioo. Aslay nyimbo za kwenye daladala, na kulialia maisha every day.