Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine hawa Mr nice vs Mr Sugu vs Mr Misifa vs Mr Rajabkuna wengine hawa nick minaj,nick wa pili na nick mbishi sijui nani zaidi?
Nick Minaj ni moto anavyotwerk dah ni noma hao wengne ubunifu ni zero...Wanadhalilisha jina la Nick.....YMCMB 4 lyf....kuna wengine hawa nick minaj,nick wa pili na nick mbishi sijui nani zaidi?
Mkuu hiki ulichoandika hakiakisi uanaume, kinaakisi Roho ya Kichawi.Hii mada ingeletwa na jinsia "ke" ingependeza sana ....kushabikia wanaume na wewe ni mwanaume inatia kichefu chefu
kuna wengine hawa nick minaj,nick wa pili na nick mbishi sijui nani zaidi?
Wote hakuna kitu wanaimba nyimbo zinazofanana, maadhi na melody yani hawabadiriki.
Bora ya mwanadada Jolie, Ibra nation na yule Wozza
Jux ni kwamba hana nyota ya kupendwa ila ndio mwenye vibao vikali.Tusaidiane, nani mkali zaidi hapo, tuangalie vigezo viwili tu.. sauti na mashairi..
Karibun
Jux kashapendwa na Vanesa. InatoshaJux ni kwamba hana nyota ya kupendwa ila ndio mwenye vibao vikali.