Aslay x Alikiba

Aslay x Alikiba

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968


Wazee wa vocal washachomoa Betri
 
Ngoma mbaya aivutii kuanzia beat, Melody Hadi corus alafu pia hakuna chemistry Kati yao
 
Ngoma mbaya aivutii kuanzia beat, Melody Hadi corus alafu pia hakuna chemistry Kati yao
Yaani nimeicheki YouTube kiukweli ngoma mbovu. Wala sijaikubali kwenye ukwwli tuuseme tu japo hawa wote ni wasanii ninaowakubali.
 
Angeshirikishwa msanii nimpendae na ngoma ingekua mbovu ningesikitika sana
 
mtafuteni mange kimambe aipe promo mtaipenda tuuuu[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Aslay atakuwa analogwa huyu... Si bure.

Au naye mshirikina.

Kapotea mazima.

Hadi anaanza kutafuta huruma ya mashabiki.

Kuna shida.
 
kama joseph99 na yule innocent nini sijui.. hawajaja kwenye huu uzi kuponda basi najinyonga..
 
Back
Top Bottom