MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Msanii wa Kibongo anayeitwa Asley ambaye sio maarufu sana Kenya, alikuja na kutumbuiza, kwa bahati mbaya jukwaa halikua limefungwa vizuri, likaporomoka na kumwangusha, japo alipata huduma ya kwanza na akaendelea na show full mzuka.
Watanzania walikesha humu wakilia vilio hadi nikawahurumia, walituhumu hujuma na mambo mengine mengi yaliwatoka.
Sasa huko huko Tanzania sehemu inaitwa Sumbawanga, msanii Diamond Platinum yamemtendekea baada ya jukwaa kuharibika, alidondoka mzima mzima jumla jumla, sasa sijui Watanzania watatulilia sisi au hii wataiweka vipi.
Video ya tukioa hii hapa
kadoda11