Asley alipoanguka Kenya mlisema hujuma, Diamond amedodokea pua Bongo, mtasema nini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Msanii wa Kibongo anayeitwa Asley ambaye sio maarufu sana Kenya, alikuja na kutumbuiza, kwa bahati mbaya jukwaa halikua limefungwa vizuri, likaporomoka na kumwangusha, japo alipata huduma ya kwanza na akaendelea na show full mzuka.
Watanzania walikesha humu wakilia vilio hadi nikawahurumia, walituhumu hujuma na mambo mengine mengi yaliwatoka.
Sasa huko huko Tanzania sehemu inaitwa Sumbawanga, msanii Diamond Platinum yamemtendekea baada ya jukwaa kuharibika, alidondoka mzima mzima jumla jumla, sasa sijui Watanzania watatulilia sisi au hii wataiweka vipi.
Video ya tukioa hii hapa

kadoda11
 
Hahahaha Nakumbuka mimi nilikuwa nimegeuzwa jaa LA mihemko. Yaani yale matusi niliyopokea hayana kifani.
Sasa wakenya walienda ku~sabotage hii
ya diamond?

Halafu Diamond hiyo Bongo hanaga bahati, huko huko ndiko huwa wanamuibia pia, unakumbuka tukio la kuibiwa chain.
 
Halafu Diamond hiyo Bongo hanaga bahati, huko huko ndiko huwa wanamuibia pia, unakumbuka tukio la kuibiwa chain.
Lol... Hili nalo LA kuibiwa chain hawakusema ni wakenya maana wanasema wakenya ni wezi. Hata mo alipotekwa kuna baadhi ya watz humu walisema kwamba watekaji ni wakenya.
Ni kama nchi yao hakuna maovu .
 
Lol... Hili nalo LA kuibiwa chain hawakusema ni wakenya maana wanasema wakenya ni wezi. Hata mo alipotekwa kuna baadhi ya watz humu walisema kwamba watekaji ni wakenya.
Ni kama nchi yao hakuna maovu .

Hawa walilemazwa kiakili tangu zamani, yaani walifundishwa tangu enzi za mababu zao kwamba lolote mbaya likiwatokea husababishwa na Wakenya. Wanaishi maisha ya uwoga uwoga......
 
Kondoo inaitwa kadoda hapa inapita kimya kimya, awache double standard afungue thread ya kukashifu yeye na wenzake pia
 
Sumbawanga...headquarters ya uchawi sishangai

Huko huwa pabaya sana kwa hayo madude ya uchawi, yaani hata Watanzania wenyewe wanapaogopa, na tayari hilo la Diamond kuanguka wanatiririka comments za kiajabu.
 
Halafu Diamond hiyo Bongo hanaga bahati, huko huko ndiko huwa wanamuibia pia, unakumbuka tukio la kuibiwa chain.
Cheni kaibiwa mtaani kwenye mazingira yasiyo salama, nyinyi mmemuibia desiigner kwenye show yenye entrance pesa mob
 
Hatumjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi nyie mmeona Kenya talk hauwatoshi mmeamua kuleta porojo zenu humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…