DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jun 29, 2025 #1 Mwenyekiti na Muanzilishi wa Taasisi ya Asma mwinyi foundation, Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge Jimbo la Welezo Wilaya ya Mfenesini Unguja Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti na Muanzilishi wa Taasisi ya Asma mwinyi foundation, Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge Jimbo la Welezo Wilaya ya Mfenesini Unguja Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025